https://tpc.googlesyndication.com/simgad/8045142562622600543

Recent Post

Monday, August 26, 2013

Rais Jakaya Mrisho Kikwete amwapisha Jaji Francis Mutungi, kama msaji wa vyama vya siasa Tanzania


Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimwapisha Msajili wa Vyama vya Siasa mpya Jaji Francis Mutungi Ikulu jijini Dar es salaam leo.Picha na Ikulu.
mu4
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimmkabidhi vitendea kazi  Msajili wa Vyama vya Siasa mpya Jaji Francis Mutungi Ikulu jijini Dar es salaam leo.
mu7
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na  Msajili wa Vyama vya Siasa mpya Jaji Francis Mutungi na viongozi wa vyama vya siasa Ikulu jijini Dar es salaam leo.
  IMG_1836
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Msajili wa Vyama vya Siasa Mstaafu Jaji Francis Mutungi na Msajili wa Vyama vya Siasa Mstaafu Mhe John Tendwabaada ya kumuapisha Jaji Mutungi Ikulu jijini Dar es salaam leo.

No comments:

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...