https://tpc.googlesyndication.com/simgad/8045142562622600543

Recent Post

Monday, August 26, 2013

Hali ilivyokuwa katika kikao cha NEC Mjini Dodoma leo na kuongozwa na mwenyekiti wake Jakaya Mrisho Kikwete


 Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akiongoza kikao cha NEC, leo Agosti 26, 2013 mjini Dodoma. Kulia ni Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana.
 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akitoa utangulizi kabla ya Mwenyekiti wa CCm Rais Jakaya Kikwete (kushoto) kufungua kikao cha NEC, Agosti 26, 2013.
 Baadhi ya wajumbe wa NEC, ukumbini. Kulia mstari wa mbele ni Mjumbe wa Kamati ya Ushauri ya Viongozi wastaafu wa CCM, John Malecela ambaye ni mwalikwa kwenye kikao hicho.

No comments:

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...