https://tpc.googlesyndication.com/simgad/8045142562622600543

Recent Post

Friday, August 30, 2013

Picha tofauti yaliyojiri wakati Diamond anamkabidhi gari lake mzee Muhidini Gurumo

1
Mwanamuziki Diamond Platinum akimkabidhi funguo ya gari mzee Muhidini Gurumo.
2
Mzee  Muhidin Gurumo akimshukuru Diamond.
3
Diamond akimuongoza mzee Gurumo kwenda kumuonyesha gari.

5
Diamond akimuonyesha Mzee Gurumo gari.
6
Akimuelekeza jambo baada ya mzee Gurumo kuingia kwenye gari.
7 
Diamond akizungumza machache kushukuru mashabiki wake na watu mbalimbali waliomsaidia kufikia hapo alipo.
  9
Diamond na madansa wake wakitumbuiza katika hafla hiyo.
10
Wasanii mbalimbali pamoja na MaDJ walikuwepo katika hafla hiyo hapa ni Dully Sykes na MawanaFA wakiwa na baadhi ya Ma DJ.
11
Maurice Njowoka kutoka Cocacola wa pili kutoka kushoto na Mwanamuziki AY wa tatu kutoka kushoto pamoja na wadau wengine wakiwa katika hafla hiyo.
12 
Mwigizaji Jaquiline Wolper naye alitia timu. 
 13
Mkurugenzi wa ASET Asha Baraka akiwa na mama yake Diamond.
15
Wadau mbalimbali wakiwa katika hafla hiyo.
16 17
Mzee Gurumo akihojiwa na waandishi wa habari.
18
Hawa marafiki zangu wakakumbushia miaka kadhaa waliyofunga ndoa kwa kulishana mishikaki ilipendeza katikati ni Nancy Sumari akishuhudia.
19
Kulia ni Irene Uwoya kushoto Salma Msangi 
20
Kushoto AY na Salama Jabir wakipiga story na wadau mbalimbali
21 22
Kutoka kulia ni Raymond Kigosi, Irene Uwoya na JB wakiwa katika hafla hiyo. Picha zote kwa hisani ya Full Shangwe.

No comments:

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...