https://tpc.googlesyndication.com/simgad/8045142562622600543

Recent Post

Wednesday, August 28, 2013

Tunaomba radhi kutokuwapo kwa makala ya Mgodi Unaotembea leo JumatanoKwasababu zilizokuwa nje ya uwezo wetu, tunaomba radhi kwakuwa leo Jumatana hatakuwa na makala ya 'Mgodi Unaotembea' inayoandikwa na Kambi Mbwana, pichani. 
Badala yake makala hiyo itakuwapo tena kuanzia Jumatano ijayo. Tunaomba radhi kwa usumbufu wowote utakaojitokeza na tunaomba zaidi ushirikiano wako.

Handeni Kwetu Blog.

No comments:

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...