https://tpc.googlesyndication.com/simgad/8045142562622600543

Recent Post

Saturday, March 01, 2014

Yanga yapata bao safi dakika ya 37 kipindi cha pili kwa Cannavaro dhidi ya Al AhlyYanga inafanikiwa kupata bao dakika ya 37 kipindi cha pili kwa kupitia mchezaji wake Nadir Haroub ‘Cannavaro’, aliyewainua mashabiki wa timu yake, dhidi ya Al Ahly ya Misri.

Mpira ni mgumu na unaonyesha upinzani wa hali ya juu, huku nyota wa Yanga, Emmanuel Okwi, akihaha uwanjani kusaka bao.

No comments:

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...