https://tpc.googlesyndication.com/simgad/8045142562622600543

Recent Post

Sunday, March 02, 2014

Maandalizi ya mbio za Kilimanjaro Marathon leo mkoani Kilimanjaro

Zoezi la uandikashaji ukiendelea katika Hoteli ya Kiss, jioni ya jana
Watu waendelea kujitokeza kujiandikisha katika Hoteli ya Kiss
Uandiskishaji unaendelea
Maelekezo ya hapa na pale ya namna ya ushiriki
Hadi ya wanafusnzi walijitokeza kujiandikisha
Mbio za kipekee nchini zinazoshirikisha wageni wengi
Mafundi wa Tanga Cement wakirekebisha banda lao
Marekebisho ya mwisho ya Jukwaa kuu yanaendelea
Sehemu ya kumalizia mbio za Vodacom km 5 fun run zinaendela
hili ndilo banda la Gapco
Muonekano wa uwanja wa Ushirika jioni ya leo
Njia ya kukimbilia ndani ya uwanja

No comments:

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...