https://tpc.googlesyndication.com/simgad/8045142562622600543

Recent Post

Friday, March 07, 2014

Timu ya Machava FC yapewa msaada wa jezi

Meneja masoko wa kampuni ya Megatrade (T) Ltd,Goodluck Kway akikabidhi hundi ya sh Milioni 3 kwa mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Leonidas Gama ikiwa ni sehemu ya msaada kwa timu ya soka ya Machava fc inayoshiriki ligi daraja la tatu ngazi ya mkoa wa Kilimanjaro.shoto kwake ni Meneja mauzo wa Kampuni ya Megatrade(T)Ltd kanda ya kaskazini Edimund Lutaraka.
Meneja Masoko wa Kampuni ya Megatrade (T) Ltd, Goodluck Kway akimkabidhi Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Leonidas Gama jezi zenye thamani ya kiasi cha sh Milioni 3 ikiwa ni sehemu ya msaada kwa timu ya soka ya Machava fc inayoshiriki ligi daraja la tatu ngazi ya mkoa wa Kilimanjaro,kushoto kwake ni Meneja mauzo wa Kampuni ya Megatrade(T)Ltd kanda ya kaskazini Edimund Lutaraka.
Meneja masoko wa kampuni ya Megatrade (T) Ltd,Goodluck Kway akimkabidhi mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Leonidas Gama Mpira ikiwa ni sehemu ya msaada kwa timu ya soka ya Machava fc inayoshiriki ligi daraja la tatu ngazi ya mkoa wa Kilimanjaro.shoto kwake ni Meneja mauzo wa Kampuni ya Megatrade(T)Ltd kanda ya kaskazini Edimund Lutaraka.
Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro, Leonidas Gama akimkabidhi jezi nahodha wa timu ya Machava ,Dickson Muganda.Jezi hizo zenye thamani ya kiasi cha sh Milioni 3 zimetolewa na kampuni ya Megatrade ikiwa ni sehemu ya msaada kwa timu hiyo inayoshiriki ligi daraja la tatu ngazi ya mkoa wa Kilimanjaro.
Meneja masoko wa kampuni ya Megatrade (T) Ltd,Goodluck Kway akikabidhi hundi ya sh Milioni 3 kwa kamanda wa polisi mkoa wa Kilimanjaro Robert Boaz ikiwa ni sehemu ya msaada kwa timu ya soka ya Polisi Kilimanjaro inayoshiriki ligi daraja la tatu ngazi ya mkoa wa Kilimanjaro, kushoto kwake ni Meneja mauzo wa Kampuni ya Megatrade(T)Ltd kanda ya kaskazini Edimund Lutaraka.
Meneja masoko wa kampuni ya Megatrade (T) Ltd,Goodluck Kway akimkabidhi mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Leonidas Gama Mpira ikiwa ni sehemu ya msaada kwa timu ya soka ya Machava fc inayoshiriki ligi daraja la tatu ngazi ya mkoa wa Kilimanjaro.shoto kwake ni Meneja mauzo wa Kampuni ya Megatrade(T)Ltd kanda ya kaskazini Edimund Lutaraka.
Viongozi wa timu ya Polisi Kilimanjaro wakiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa kampuni ya Megatrade(T)Ltd muda mfupi baada ya kukabidhiwa zawadi.
Viongozi wa timu ya Polisi Kilimanjaro wakiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa kampuni ya Megatrade(T)Ltd muda mfupi baada ya kukabidhiwa zawadi.

No comments:

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...