https://tpc.googlesyndication.com/simgad/8045142562622600543

Recent Post

Sunday, March 09, 2014

Kampeni za CCM jimbo la Uchaguzi Kalenga, mkoani Iringa jana

1 
Meya wa Halmashauri ya Manispaa ya Ilala na mjumbe wa Kamati kuu ya Chama chama Mapinduzi (CCM) Bw. Jerry Silaa kulia akiteta jambo na Mgombea ubunge wa jimbo la Kalenga kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi Bw. Godfrey Mgimwa wakati wa mkutano wa hadhara wa kampeni uliofanyika kwenye kijiji cha Ibumila kata ya Mgama halmashauri  ya Iringa vijijini mkoani Iringa, Jerry Silaa amewaomba wana Ibumila na wana Kalenga kwa ujumla wake kumchagua Godfrey Mgimwa ili kukamilisha mipango mbalimbali aliyoiacha  na aliyekuwa mbunge wa jimbo hilo Marehemu Dr. William Mgimwa.(PICHA NA KIKOSIKAZI CHA FULLSHANGWE-KALENGA) 2 
Meya wa Halmashauri ya Manispaa ya Ilala na mjumbe wa Kamati kuu ya Chama chama Mapinduzi (CCM) Bw. Jerry Silaa akihutubia katika mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye kijiji cha Ibumila kata ya Mgama leo 3 
Meya wa Halmashauri ya Manispaa ya Ilala na mjumbe wa Kamati kuu ya Chama chama Mapinduzi (CCM) Bw. Jerry Silaa wa pili kutoka kushoto akiwa katika mkutano huo kushoto ni mgombea ubunge wa jimbo la Kalenga kupitia CCM Bw. Godfrey Mgimwa na kutoka kulia ni Mwenyekiti wa UVCCM, Mkoa wa Simiyu,Njalu Silanga, Anthony Mavunde kutoka UVCCM Dodoma, Katibu wa CCM Mkoa wa Iringa Hassani Mtenga

No comments:

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...