Bondia Selemani Galile kushoto akijifua na Mohamed Mosco wakati wa mazozi yake ya kujitahalisha kupambana na Mbwana Ally mpambano utakaofanyika Yombo Dovya katika ukumbi wa Lupingu Pub Februari 2. Picha zote kwa hisani ya www.superdboxingcoach.blogspot.com
Bondia Selemani Galile akifanya mazoezi ya kukaza misuri ya tumbo wakati wa maandalizi ya mbambano wake na Mbwana Ally utakaofanyika Yombo Dovya katika ukumbi wa Lupingu Februari 2.
Bondia Selemani Galile kushoto akijifua na Mohamed Mosco wakati wa mazozi yake ya kujitahalisha kupambana na Mbwana Ally mpambano utakaofanyika Yombo Dovya katika ukumbi wa Lupingu Pub Februari 2.