https://tpc.googlesyndication.com/simgad/8045142562622600543

Recent Post

Tuesday, January 29, 2013

Makamu wa Rais afungua mkutano wa mashauriano Baraza la Vijana

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisoma hotuba yake wakati akifungua Mkutano  wa  Mashauriano wa Kanda wa  Baraza la Vijana wa Jumuiya ya Madola uliofunguliwa leo Januari 29, 2013 katika Hoteli ya White Sands  jijini Dar es Salaam.
 Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dkt. Fenella Mukangara, akizungumza wakati wa Mkutano  wa  Mashauriano wa Kanda wa  Baraza la Vijana wa Jumuiya ya Madola uliofunguliwa leo na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, katika Hoteli ya White Sands  jijini Dar es Salaam.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiteta jambo na Mkurugenzi wa Maendeleo ya Vijana wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Prof. Elisante Ole Gabriel, wakati wa ufunguzi wa Mkutano  wa  Mashauriano wa Kanda wa  Baraza la Vijana wa Jumuiya ya Madola uliofunguliwa leo, katika Hoteli ya White Sands  jijini Dar es Salaam.
 Baadhi ya washiriki wa mkutano huo wakimsikiliza Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzani, Dkt. Mohammed Gharib Bila, wakati akisoma hotuba yake ya ufunguzi wa mkutano huo leo, katika Hoteli ya White Sands  jijini Dar es Salaam.

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na washiriki wa mkutano huo, wanaowakilisha makundi mbalimbali ya vijana.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na Mkurugenzi wa Maendelea ya Vijana wa Wizara ya Habari, Vijana Utamaduni na Michezo, Prof. Elisante Ole Gabriel, baada ya kufungua mkutano wa  Mashauriano wa Kanda wa  Baraza la Vijana wa Jumuiya ya Madola uliofunguliwa leo, katika Hoteli ya White Sands  jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Waziri wa  Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dkt. Fenella Mukangara. 
.Picha zote na Muhidin Sufiani-Ofisi ya Makamu wa Rais

No comments:

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...