https://tpc.googlesyndication.com/simgad/8045142562622600543


Recent Post

Monday, January 28, 2013

Mwonekano wa Lulu wazidi kutia shaka....Au ni kweli?

Msanii wa filamu nchini, Elizabeth Michael maarufu kama  ‘Lulu’ akitoka Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam,  licha ya dhamana yake kuwa wazi, lakini alishindwa kutoka kwasababu ya kukosekana kwa Msajili wa Mahakama Kuu. Msanii huyo sasa atatoka kesho baada ya kurudishwa tena mahakamani kwa ajili ya kuangalia kama ametimiza masharti ya dhamana yake.

Pamoja na hayo, mwonekano wa msanii huyo unazidi kutia wasiwasi. Handeni Kwetu ilipokea simu nyingi zinazotaka kujua kama kweli mwanadada huyo ni mjamzito. Hata hivyo, wataalamu wa mambo wanaweza kuchunguza vyema wakati na sisi tunasubiri kupata kauli yake au vipimo vya daktari.

Lulu akipanda gari lililomleta Mahakamani.
Hili ndilo gari lililomleta Mahakamani.
Hapo Vipi?
Hapo Lulu anapanda gari.

No comments:

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...