https://tpc.googlesyndication.com/simgad/8045142562622600543


Recent Post

Friday, January 11, 2013

Ibada ya Kiswahili kufanyika Ujerumani Jumapili



MCHUNGAJI Daniel na Hoyce Mbowe, pichani, wanapenda kuwakaribisha wote wanaoongea Kiswahili hapa Ujerumani na marafiki wengine katika ibada ya pili ya Kiswahili itakayofanyika Jumapili ya Januari 13 mwaka mwaka huu.

Muda wa Ibada ni saa saba mchana (13:00 hours) hadi saa tisa mchana ( 15:00 hours), huku mahali kwa ibada hiyo ni Evangelischen Friedenskirchengemeinde Bonn na anuani ni  Franz-Bücheler-Straße 10. 53129 Bonn
 Ibada ya Kiswahili itakuwa ikifanyika kila Jumapili ya pili ya kila mwezi, ibada ya Kwanza ilifanyika tarehe 9 mwezi uliopita na kuhudhuriwa na watu wengi.
Mawasiliano: dmbowe@hotmail.com or hoycembowe@hotmail.com

No comments:

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...