https://tpc.googlesyndication.com/simgad/8045142562622600543

Recent Post

Friday, October 04, 2013

Makamu wa Rais Dkt Bilal aagana na mabalozi waliomaliza muda wao Tanzania na kukutana pia na Balozi wa Tanzania nchini Addis Ababa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkaribisha Balozi wa Marekani nchini Tanzania, aliyemaliza muda wake, Alfonso Lenhardt, aliyefika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Okt 3, 2013 kwa ajili ya kumuaga baada ya kumaliza muda wake wa kazi nchini. 
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Balozi wa Marekani nchini Tanzania, aliyemaliza muda wake, Alfonso Lenhardt, aliyefika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Okt 3, 2013 kwa ajili ya kumuaga baada ya kumaliza muda wake wa kazi nchini.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Balozi wa Tanzania, nchini Addis Ababa, Ethiopia, Naimi Aziz, aliyefika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Okt 3, 2013 kwa ajili ya mazungumzo. 
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Balozi wa Tanzania, nchini Addis Ababa, Ethiopia, Naimi Aziz, aliyefika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Okt 3, 2013 kwa ajili ya mazungumzo. 
  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Balozi wa Oman nchini Tanzania, Yahya Moosa Bakari, aliyefika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Okt 3,  2013 kwa ajili ya kumuaga baada ya kumaliza muda wake wa kazi nchini.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika mazungumo na Balozi wa Oman nchini Tanzania, Yahya Moosa Bakari, wakati alipofika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es  Salaam, leo Okt 3, 2013 kwa ajili ya kumuaga baada ya kumaliza muda wake wa kazi nchini.Picha na OMR

No comments:

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...