Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisoma hotuba yake ya
ufunguzi wa Kongamano la Sita la Kimataifa la Madktari Wanafunzi,
lililofanyika sambamba na Mkutano wa nne wa Chama cha Madaktari
Wanafunzi TAnzania (TAMSA) lililofanyika jijini Mwanza leo, Oktoba 6,
2013.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipokea Cheti kutoka
kwa Mratibu wa Kongamano la Sita la Kimataifa la Madktari Wanafunzi,
lililofanyika sambamba na Mkutano wa nne wa Chama cha Madaktari
Wanafunzi TAnzania (TAMSA) ambaye ni mwanafunzi wa Chuo cha Hubat
Kairuki cha Dar es Salaam, Helga Mutasingwa, ikiwa ni sehemu ya kutambua
mchango wa Mhe. Makamu katika kufanikisha Kongamano hilo. Makamu
alipokea Cheti hicho leo Oktoba 6, 2013 baada ya kufungua rasmi
Kongamano hilo jijini Mwanza.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, Waziri wa Afya, Dkt.
Hussein Mwinyi (kulia) na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Eng. Evarist Ndikilo,
wakijumuika kuimba wimbo wa Taifa kabla ya kufunguliwa kwa Kongamano
hilo
No comments:
Post a Comment