https://tpc.googlesyndication.com/simgad/8045142562622600543

Recent Post

Monday, October 14, 2013

Pilika pilika za kukimaarisha Chama jana jijini Dar es Salaam

 Mbunge wa Kinondoni Mh. Idd Azan (katikati) akiwa na wenzake  wa kwanza kushoto ni mwenyekiti wa CCM Mkoani Dar es Salaam, Ndugu Ramadhan R. Madabida na kulia ni mwenyekiti wa CCM Kinondoni ndugu Josephine A. Mwanga walipokuwa kwenye ufunguzi wa matawi ya CCM eneo la Mwenge leo jioni
 Mbunge wa Kinondoni Mh. Idd Azan (kushoto) akiongea na Diwani wa Kigogo, Ndugu Richard Chengula walipokuwa kwenye ufunguzi wa matawi ya CCM eneo la Mwenge leo jioni.
Mbunge wa Kinondoni Mh. Idd Azan akiwahutubia wananchi wa Mwenge wakati wa ufunguzi wa matawi ya CCM eneo la Mwenge leo jioni

Mbunge wa Donge, Zanzibar na Mwenyekiti wa UVCCM Tanzania ndugu Sadifa Juma Khamis akuwahutubia wananchi wakati wa ufunguzi wa matawi ya CCM eneo la Mwenge leo jioni.
Meya wa manispaa ya Kinondoni Ndugu Yusuph Mwenda akuwahutubia wananchi wakatiwa ufunguzi wa matawi ya CCM eneo la Mwenge leo jioni

Baadhi ya wananchi waliofika kwenye mkutano wa ufunguzi wa matawi
Wadau wakisikiliza hotuba
Wananchi wakisikiliza viongozi kwenye mkutano huo

No comments:

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...