https://tpc.googlesyndication.com/simgad/8045142562622600543

Recent Post

Tuesday, October 15, 2013

Mtuhumiwa namba 8 kesi ya mauaji ya mfanyabiashara wa madini Erasto Msuya aunganishwa na wenzake

Mtuhumiwa namba 8 katika kesi ya mauaji ya Mfanyabiashara wa Madini ya Tanzanite Erasto Msuya, aliyekamatwa hivi karibuni Ally Musa "Majeshi" akipelekwa katika chumba cha mahakama ya hakimu mkazi mjini Moshi kwa ajili ya kuunganishwa na watuhumiwa wenzake katika kesi hiyo.
Mtuhumiwa namba mbili, Shaibu Shaibu Jumanne Saidi maarufu kama Mredi (38) anayetuhumiwa kushiriki Mauaji ya mfanyabiashara wa madini Erasto Msuya wakipelekwa katika jengo la mahakama.
Mmoja wa askari akijaribu kutoa maelekezo kwa mtuhumiwa wa mauaji ya mfanyabiashara wa madini Erasto Msuya wakati akielekea chumba cha mahakama ya hakimu mkazi mjini Moshi.
Ndugu wa marehemu Erasto Msuya wakiwa nje ya jengo la mahakama yahakimu mkazi mjini Moshi wakitizama watuhumiwa wa mauaji ya ndugu yao.
Watuhumiwa wa kesi ya mauaji ya mfanyabiashara wa madini Erasto Msuya wakitolewa katika chumba cha mahakama mara baada ya kuahirishwa kwa shitaka linalo wakabili.
Watuhumiwa wa kesi ya mauaji ya mfanyabiashara wa madini Erasto Msuya wakitolewa katika chumba cha mahakama mara baada ya kuahirishwa kwa shitaka linalo wakabili.
Mtuhumiwa namba mbili, Shaibu Shaibu Jumanne Saidi maarufu kama Mredi (38) anayetuhumiwa kushiriki Mauaji ya mfanyabiashara wa madini Erasto Msuya, akisaidiwa kupanda katika gari mara bada ya kuahirishwa kwa shitaka linalo wakabili.

No comments:

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...