https://tpc.googlesyndication.com/simgad/8045142562622600543

Recent Post

Thursday, October 17, 2013

Hadi ndege wanapanda, Coastal wanataka nini, wajifua jijini Mwanza kuwavaa Kagera Sugar

 Kocha Mkuu wa Coastal Union Hemed Moroco (mwenye kofia), akiwa na viongozi wa timu hiyo Abdul Ubinde wa kwanza kulia na Miraji Wandi wa pili kulia, wa kwanza kushoto ni Uhuru Suleiman, kiungo wa timu hiyo; katika uwanja wa kimataifa wa JK nyerere kabla ya kupanda ndege kuelekea Mwanza na baadaye Bukoba kwa ajili ya mechi ya Ligi Kuu kati yao na Kagera Sugar siku ya Jumamosi wiki hii.
.
Baada ya Coastal Union kutua Mwanza kwa Ndege walifanya mazoezi katika Uwanja wa CCM Kirumba, jijini humo kwa ajili ya kuwawinda Kagera Sugar.
Vijana wakitafakari jambo.
 Meneja wa Coastal Union, Akida Macha akiwa na Kocha wa timu hiyo Hemed Moroco...
Uhuru Selemani, mchezaji wa Coastal Union akifurahia jambo ndani ya Ndege walipokuwa wakielekea jijini Mwanza, tayari kwa kuelekea Kaitaba Bukoba kuwavaa Kagera Sugar.
Uwanja wa CCM Kirumba walipofanya mazoezi leo Coastal Union.
Wanajifua vijana hawa.
Mazoezi kama kawaida.
Mazoezi yanaendelea kwa vijana wa Coastal Union.
Hawa vijana sijui wanataka nini? Kila kitu wanapata. Hadi ndege wanapanda, sasa mbona tunafanya tofauti na matarajio ya Wana Tanga? Haya si maneno rasmi, ila yameandikwa kutokana na picha inayoonekana hapa juu ya mazoezi ya Costal Union iliyotua jijini Mwanza kwa usafiri wa Ndege.
Mazoezi yanaendelea.
Mazoezi yanaendelea.
Wachezaji wa Coastal Union wakifanya mazoezi baada ya kutua jijini Mwanza leo.

No comments:

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...