Pichani, Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, akitoa maneno ya utangulizi kabla ya mada kuanza kutolewa. Wengine kutoka kushoto ni Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Bara) Mwigulu Nchemba, Katibu wa NEC, Uchumi na Fedha, Zakiah Meghji na Katibu wa NEC, Itukadi na Uenezi Nape Nnauye.
Washiriki wakiwa kwenye semina hiyo leo asubuhi.
Washiriki wakifuatilia mada kwenye semina hiyo asubuhi hii.
Washiriki wakifuatilia mada.

Washiriki kutoka Dar es Salaam, wakifuatilia kwa makini mada (kushoto) ni Katibu wa CCM mkoa wa Dar es Salaam, Abilah Mihewa
Nape akitoa angalizo kuboresha usikivu wa mada kwenye semina hiyo
Maofisa wa Chama kutoka Makao Makuu ya CCM wakiwa kwenye semina hiyo.
No comments:
Post a Comment