https://tpc.googlesyndication.com/simgad/8045142562622600543

Recent Post

Monday, October 14, 2013

Wakati Ufoo Saro akiwa Hospitali ya Taifa Muhimbili, nyumbani kwao kwazizima huzuni


DSC 0107 9f37bUlipo msiba wa mama yake Ufoo Saro.
DSC 0108 5ec3cNi msiba wenye kuhuzunisha na kushtua.
DSC 0109 de82dWatu wakitafakari jambo nyumbani kwa kina Ufoo Saro, baada ya jana kupigwa risasi yeye pamoja na mama yake. Katika tukio hilo, mama yake Anastazia Saro alifariki Dunia, wakati aliyedaiwa kufanya tukio hilo naye alijipiga risasi na kufa papo hapo kwa tukio hilo linalotafsiriwa kuwa ni wivu wa mapenzi.

DSC 0110 75668Nyumbani kwa kina Ufoo Saro, wakati yeye mwenyewe yupo Hospitali ya Taifa Muhimbili.
DSC 0110 ce7ee Picha kwa hisani ya Hudgu Ng'amilo.

No comments:

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...