https://tpc.googlesyndication.com/simgad/8045142562622600543

Recent Post

Saturday, February 01, 2014

CCM ni full burudani jijini Mbeya, wakazi kibao wawapa sapoti katika kuelekea sherehe za CCM kesho


Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, akizungumza na Vijana, katika Ukumbi wa Mtenda jijini Mbeya, leo jioni ikiwa ni maadalizi ya shamrashamra za miaka 37 ya CCM zitakazofanyika Jumapili hii jijini hapa. Kushoto ni Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye na Katibu Mkuu wa UVCCM, Sixtus Mapunda.
Vijana akiwa wamembeba Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, baada ya kuwakuna kwa hotuba yake, alipozungumza nao katika ukumbi wa Mtenda jijini Mbeya
Vijana hao wakimbeba pia Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye.
Kinana akiagana na vijana hao nje ya ukumbi baada ya kuzungumza nao
Baadhi ya mashabiki wa timu ya Mbeya City, wakimpungia mkono Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana alipopishana nao akiwa katika gari lake mjini Mbeya leo jioni.
Paul Makondya kutoka Makao Makuu ya CCM, akiongoza msafara wa Kinana kutoka ukumbini kwenda mjini. Picha zote na Bashir Nkoromo wa CCM Blog

No comments:

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...