https://tpc.googlesyndication.com/simgad/8045142562622600543

Recent Post

Friday, February 14, 2014

Burudika kwa kuangalia video ya Tamasha la Handeni Kwetu 2013Karibu uangalie video ya Tamasha la Utamaduni Handeni, lililofanyika Desemba 14 mwaka 2013 na kuhudhuriwa na watu wengi, kutoka ndani na nje ya Handeni. Mgeni rasmi alikuwa ni Mkuu wa wilaya hiyo, Muhingo Rweyemamu. Vikundi mbalimbali vilishiriki katika tamasha hili la aina yake.

No comments:

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...