Wajumbe wa kamati ya kudumu ya Bunge ya ardhi, maliasili na mazingira wakijiandaa kwa safari ya kuelekea katika hifadhi ya Tarangire, iliyoko wilayani Babati, mkoa wa Manyara. |
Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Mazingira katika ofisi za hifadhi ya Tarangire, wakisikiliza taarifa ya uhuifadhi kutoka kwa Mhifadhi Mkuu, Stephano Kolli (hayupo pichani). |
Mwenyekiti wa kamati ya Ardhi, maliasili na mazingira, James Lembeli, akijadiliana jambo na Mkurugenzi mkuu wa TANAPA, Allan Kijazi (aliyeinama). |
Mhifadhi mkuu wa Tarangire, Stephano Kolli, akitoa taarifa ya hifadhi kwa kamati ya Ardhi, Maliasili na Mazingira iliyotembelea Hifadhi hiyo. |
Muda wa kuanza safari kuelekea katika eneo la mradi, mbele ni mhifadhi wa Tarangire, Stephanojumbe Kolli,wajumbe na waandishi wa habari. |
No comments:
Post a Comment