https://tpc.googlesyndication.com/simgad/8045142562622600543


Recent Post

Monday, February 03, 2014

Siku ya Sheria, Moshi mkoani Kilimanjaro waadhimisha mbele ya Mkuu wa Mkoa Leonidas Gama

Leo ni Law Day, tunamsubiri mgeni Rasmi.
Wanasheria wakimsubiri Mgeni Rasmi.
Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu kanda ya Moshi, Jaji Aisha Nyeyere, akiongoza Wanasheria katika maadhimisho ya siku ya Sheria (Law Day), yaliyofanyika leo katika viwanja vya Mahakama Kuu kanda ya Moshi.
Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu Kanda ya Moshi, Jaji Aisha Nyeyere (kulia), akikagua Gwaride la Heshima katika maadhimisho ya siku ya Sheria (Law Day), yaliyofanyika leo katika viwanja vya Mahakama Kuu kanda ya Moshi.
Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu kanda ya Moshi, Jaji Aisha Nyeyere, akijiandaa kukagua gwaride la Heshima katika maadhimisho ya siku ya Sheria (Law Day), yaliyofanyika leo katika viwanja vya Mahakama Kuu kanda ya Moshi.
Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu kanda ya Moshi, Jaji Aisha Nyeyere, akijiandaa kukagua gwaride la Heshima katika maadhimisho ya siku ya Sheria (Law Day), yaliyofanyika leo katika viwanja vya Mahakama Kuu kanda ya Moshi.
Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu kanda ya Moshi, Jaji Aisha Nyeyere (kushoto) akiwa na Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoani Kilimanjaro, Robert Boaz katika maadhimisho ya siku ya Sheria (Law Day), yaliyofanyika leo katika viwanja vya Mahakama Kuu kanda ya Moshi.
Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro, Leonidas Gama, (kulia) ambaye ni mgeni mwalikwa katika
Siku ya Sheria tumependazaje leo.
Baadhi ya Mawakili Mashuhuri katika maadhimisho ya siku ya Sheria (Law Day), yaliyofanyika leo katika viwanja vya Mahakama Kuu kanda ya Moshi.
Kamishna wa kamati ya Usuluhishi Taifa, Japhary Ally (kulia) akiwa na Mawakili wenzake katika maadhimisho ya siku ya Sheria (Law Day), yaliyofanyika leo katika viwanja vya Mahakama Kuu kanda ya Moshi.
Mwanasheria, wakili wa serikali,  Elizabeth Minde katika maadhimisho ya siku ya Sheria (Law Day), yaliyofanyika leo katika viwanja vya Mahakama Kuu kanda ya Moshi

No comments:

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...