Nivute kwako!!! ni wimbo wake Dayna akiuimba vyema Jukwaani kwenye Ukumbi wa JB Belmonte Hotel katika jiji la Rocky City Valentine Day.
Dada Carol (kulia) akicheza pamoja na rafiki yake kumsindikiza msanii Dayna kwenye siku ya wapendano.
Dayna akitoa tabasamu hapa!!! Mpaka Shabikia akamfata juu ya jukwaa!
Msanii wa muziki wa Bongo Fleva Dayna Nyange akicheza na Shabiki wake.
Cindy Sanyu kutoka Nchini Uganda...akaingia kwa stage!! ukumbi ukawaka moto!!!
Cindy
Sanyu kutoka Nchini Uganda(katikati) akicheza kwa pamoja na wanamuziki
wake kuwapa kile Wabongo walichomwitia katika ukumbi huu wa JB Belmonte
Hotel.
Majanga!! kazi ikakatika!
Hakika katushika Cindy



No comments:
Post a Comment