https://tpc.googlesyndication.com/simgad/8045142562622600543


Recent Post

Wednesday, February 05, 2014

Kinana alipozuru nyumbani kwa marehemu William Mgimwa

Katibu Mkuuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimsalimia Mama Mzazi wa aliyekuwa Waziri wa Fedha, Dk. William Mgimwa, Consolata Mgovano, alipokwenda nyumbani kwa marehemu Mgimwa, Kijiji cha Magunga, jimbo la Kalenga, Iringa Vijijini. Wengine ni watoto wa marehemu Mgimwa, Stanisla Mgimwa, na Rozalina Mgimwa.
 Kinana akizungumza na familia huyo ya marehemu Mgimwa. Wapili kushoto ni Johakim Mgimwa.

 Kinana akimuaga Mama Mgimwa baada ya mazungumzo
 Kinana akiaga
 Mmoja wa wanafamilia akilia Kinana alipotembelea familia hiyo ya Mgimwa
 Nyumbani kwa marehemu Mgimwa
Kinana akipokea saluti ya Kijana wa CCM, alipowasili Ifunda, Iringa Vijijini kabla ya safari ya kwenda nyumbani kwa marehemu Mgimwa. Kushoto ni Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Iringa Jesca Msavatavangu:

No comments:

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...