https://tpc.googlesyndication.com/simgad/8045142562622600543

Recent Post

Thursday, February 13, 2014

Moto mkubwa wazuka Chuo cha Polisi Moshi, mkoani Kilimanjaro

Moja ya kifaa kilichopo chuoni hapo ambacho pia kilikuwa kikitumika kwa shughuli za kuzima moto katika jengo hilo .Mkuu wa chuo hicho, Matanga Mbushi amesema taarifa kamili ya moto huo itatolewa baadae.
Wanafunzi wa chuo cha taaluma ya polisi wakijaribu kuudhibiti moto uliokuwa ukiwaka katika jengo hilo.
Wanafunzi wa chuo cha taaluma ya polisi wakijaribu kuudhiti motouliokuwa ukiwaka katika jengo hilo
Wanafunzi wa chuo cha taaluma ya polisi Moshi wakijaribu kuzima moto na kuokoa mali zilizokuwa zikiungua katika moja ya stoo ya kihifadhia vitu mbalimbali zikiwemo nguo baada ya kuzuka kwa moto katika jengo hilo.

Wanafunzi wa chuo cha taaluma ya polisi wakijaribu kuudhiti motouliokuwa ukiwaka katika jengo hilo.
Kamanda wa polisi mkoa wa Kilimanjaro Robert Boaz akiwa na mkuu wa Chuo cha taaluma ya Polisi kamishana msaidizi wa polisi Matanga Mbushi wakishuhudia zoezi la uzimaji moto katika jengo hilo.

Wanafunzi wa chuo cha taaluma ya polisi Moshi wakijaribu kuzima moto na kuokoa mali zilizokuwa zikiungua katika moja ya stoo ya kihifadhia vitu mbalimbali zikiwemo nguo baada ya kuzuka kwa moto katika jengo hilo.
Hapa zoezi la kuokoa baadhi ya vifaa vya jeshi, ikiwemo nguo za wanafunzi na maaskari pamoja na wakufunzi,  likiendelea

Baadhi ya vifaa vilivyookolewa katika moto huo

No comments:

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...