https://tpc.googlesyndication.com/simgad/8045142562622600543

Recent Post

Monday, November 18, 2013

Kinana aendelea kutikisa ziara ya CCM Tunduru kwa ajili ya kujenga chama

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia maelfu ya wananchi katika Uwanja wa Baraza la Iddi, mjini Tunduru, akiwa katika ziara ya kukagua utelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM, kusililiza kero za wananchi na kujadili nao jinsi ya kuzitatua katika mkoa wa Ruvuma, Nov 16, 2013.
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia maelfu ya wananchi katika Uwanja wa Baraza la Iddi, mjini Tunduru, akiwa katika ziara ya kukagua utelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM, kusililiza kero za wananchi na kujadili nao jinsi ya kuzitatua katika mkoa wa Ruvuma, Nov 16, 2013.
Wananchi wa Mjini Tunduru mkoani Ruvuma wakimshangilia, Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana alipohutubia maelfu ya wananchi hao katika Uwanja wa Baraza la Iddi, mjini Tunduru, akiwa katika ziara ya kukagua utelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM, kusililiza kero za wananchi na kujadili nao jinsi ya kuzitatua katika mkoa wa Ruvuma, Nov 16, 2013.
Nazindua.
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akitia moto kwenye tanuru kuanzisha uchomaji matofali kwa ajili ya Ofisi ya Mtendaji katika Kata ya Jakika wilayani Tunduru mkoani Ruvuma, akiwa katika ziara ya kukagua utelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM, kusililiza kero za wananchi na kujadili nao jinsi ya kuzitatua katika mkoa wa Ruvuma, Nov 16, 2013. Kulia anayeelekeza ni Katibu wa NEC, Siasa na Uhisiano wa Kimataifa, Dk. Asha-Rose Migiro.
Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akikagua shughuli za ubanguaji korosho katika kiwanda cha Korosho Afrika, kilichopo nje kidogo ya mji mdogo wa Tunduru mkoani Ruvuma, akiwa katika ziara ya kukagua utelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM, kusililiza kero za wananchi na kujadili nao jinsi ya kuzitatua katika mkoa wa Ruvuma, Nov 16, 2013. Wapili kulia ni Katibu wa NEC, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Dk. Asha-Rose Migiro.

No comments:

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...