Jeneza likipelekwa sehemu iliyoandaliwa.
Jeneza lenye mwili wa marehemu Dkt.Sengondo Mvungi, likiwasili kwenye Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam,leo kwa ajili ya kuagwa
Mashada ya maua na picha ya marehemu
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza kutoka salamu za rambi rambi za serikali wakati wa shughuli za kuaga mwili wa marehemu, Dkt.Sengondo Mvungi,kwenye Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam,leo.
Waziri Mkuu Mstaafu na Mwenyekiti wa Tume ya Kurekebisha Katiba Jaji Joseph Sinde Warionba akiongea machache wakati wa shughuli za kuaga mwili wa marehemu, Dkt.Sengondo Mvungi,kwenye Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam,leo. |
Makamu
wa Rais Dkt Gahlib Bilali, Waziri Mkuu Mizengo Pinda, Rais Mstaafu
Benjamin Mkapa, Waziri Mkuu Mstaafu na Mwenyekiti wa Tume ya Kurekebisha
Katiba Jaji Joseph Warioba, Naibu Waziri wa Sheria na Katiba Mhe Angela
Kairuki na Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi Mhe James Mbatia wakiwa katika shughuli za kuaga mwili wa marehemu, Dkt.Sengondo Mvungi,kwenye Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam,leo.
Misa wakati wa shughuli hiyo
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akitoa heshima za mwisho mbele ya jeneza lenye mwili wa marehemu,
Dkt.Sengondo Mvungi, wakati wa shughuli ya kuagwa mwili huo iliyofanyika
kwenye Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam leo.
Waziri Mkuu Mhe Mizengo Pinda
akitoa heshima za mwisho mbele ya jeneza lenye mwili wa marehemu,
Dkt.Sengondo Mvungi, wakati wa shughuli ya kuagwa mwili huo iliyofanyika
kwenye Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam,leo.
Makamu
wa Kwanza wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar,Mh. Seif Sharrif
Hamad akitoa heshima za mwisho mbele ya jeneza lenye mwili wa marehemu,
Dkt. Sengondo Mvungi, wakati wa shughuli ya kuaga mwili huo
iliyofanyika leo kwenye Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam.
Rais
Mstaafu wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania, Mh. Benjamin Mkapa, akitoa
heshima za mwisho mbele ya jeneza lenye mwili wa marehemu, Dkt. Sengondo
Mvungi, wakati wa shughuli ya kuaga mwili huo iliyofanyika leo kwenye
Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam.
Waziri
Mkuu Mstaafu,Mh. Cleopa Msuya akitoa heshima za mwisho mbele ya jeneza
lenye mwili wa marehemu, Dkt. Sengondo Mvungi, wakati wa shughuli ya
kuaga mwili huo iliyofanyika leo kwenye Viwanja vya Karimjee jijini Dar
es Salaam.
Mwenyekiti
wa Tume ya Katiba,Mh. Jaji Joseph Warioba akitoa heshima za mwisho
mbele ya jeneza lenye mwili wa marehemu, Dkt. Sengondo Mvungi, wakati wa
shughuli ya kuaga mwili huo iliyofanyika leo kwenye Viwanja vya
Karimjee jijini Dar es Salaam.
Naibu
Waziri wa Katika na Sheria,Mh. Angella Kairuki akitoa heshima za mwisho
mbele ya jeneza lenye mwili wa marehemu, Dkt. Sengondo Mvungi, wakati wa
shughuli ya kuaga mwili huo iliyofanyika leo kwenye Viwanja vya
Karimjee jijini Dar es Salaam.
Makamu
Mwenyekiti wa Tume ya Katiba,Mh. Jaji Augustine Ramadhan akitoa heshima
za mwisho mbele ya jeneza lenye mwili wa marehemu, Dkt. Sengondo
Mvungi, wakati wa shughuli ya kuaga mwili huo iliyofanyika leo kwenye
Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam.
Waziri
Mkuu Mstaafu,Mh. Dkt. Salim Ahmed Salim akitoa heshima za mwisho mbele
ya jeneza lenye mwili wa marehemu, Dkt. Sengondo Mvungi, wakati wa
shughuli ya kuaga mwili huo iliyofanyika leo kwenye Viwanja vya Karimjee
jijini Dar es Salaam.
Waziri
Mkuu Mstaafu,Mh. Fredrick Sumaye akitoa heshima za mwisho mbele ya
jeneza lenye mwili wa marehemu, Dkt. Sengondo Mvungi, wakati wa shughuli
ya kuaga mwili huo iliyofanyika leo kwenye Viwanja vya Karimjee jijini
Dar es Salaam.
Waziri
wa Ulinzi,Mh. Shamsi Vuai Nahodha akiambatana na Mh. Hamad Rashid
wakitoa heshima za mwisho mbele ya jeneza lenye mwili wa marehemu, Dkt.
Sengondo Mvungi, wakati wa shughuli ya kuaga mwili huo iliyofanyika leo
kwenye Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti
wa Chama cha NCCR Mageuzi,Mh. James Mbatia na Mkewe wakitoa heshima za
mwisho mbele ya jeneza lenye mwili wa marehemu, Dkt. Sengondo Mvungi,
wakati wa shughuli ya kuaga mwili huo iliyofanyika leo kwenye Viwanja
vya Karimjee jijini Dar es Salaam.
Mh.
Stephen Wassira akitoa heshima za mwisho mbele ya jeneza lenye mwili wa
marehemu, Dkt. Sengondo Mvungi, wakati wa shughuli ya kuaga mwili huo
iliyofanyika leo kwenye Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam.
Waziri
wa Nishati na Madini,Mh. Prof. Sospeter Muhongo akitoa heshima za
mwisho mbele ya jeneza lenye mwili wa marehemu, Dkt. Sengondo Mvungi,
wakati wa shughuli ya kuaga mwili huo iliyofanyika leo kwenye Viwanja
vya Karimjee jijini Dar es Salaam.
Naibu Katibu Mkuu wa CCM Bara,Mh. Mwigulu Nchemba.
Waziri wa Uchukuzi,Mh. Mwakyembe.
Inspekta Jenelari wa Polisi,Said Mwema.
Kamanda Kova.
Waziri wa Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo,Mh. Dkt. Fenela Mukangara
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,Mh. Said Meck Sadick.
Mwenyekiti
wa Chama cha CUF,Prof. Ibrahim Lipumba akitoa heshima za mwisho mbele
ya jeneza lenye mwili wa marehemu, Dkt. Sengondo Mvungi, wakati wa
shughuli ya kuaga mwili huo iliyofanyika leo kwenye Viwanja vya Karimjee
jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti
wa CHADEMA,Mh. Freeman Mbowe akitoa heshima za mwisho mbele ya jeneza
lenye mwili wa marehemu, Dkt. Sengondo Mvungi, wakati wa shughuli ya
kuaga mwili huo iliyofanyika leo kwenye Viwanja vya Karimjee jijini Dar
es Salaam.
Familia ya Marehemu.
No comments:
Post a Comment