https://tpc.googlesyndication.com/simgad/8045142562622600543


Recent Post

Friday, December 14, 2012

Utanipa changu leo

Vijana wawili ambao majina yao hayajapatikana mara moja wakiwa wamekunjana mashati wakitaka kupigana kwa kugombea shilingi mia tano, ambapo mmoja wao anasema kuwa kuwa mwenzake anataka kumdhurumu. Vijana hawa walikutwa juzi katika stendi ya mabasi wilayani Korogwe, mkoani Tanga. Picha na Kambi Mbwana.

No comments:

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...