https://tpc.googlesyndication.com/simgad/8045142562622600543


Recent Post

Wednesday, December 12, 2012

MIAKA 51 YA UHURU TANZANIA



Mwalimu Mkuu wa shule ya Msingi Kwedikabu, Salimu Futo, akionyesha ubao wa shule hiyo uliyopo nje kutokana na kukabiriwa na uhaba wa majengo huku wakiwa na wanafunzi 540. Shule hiyo ipo katika Kata ya Kwamsisi, wilaya Handeni, mkoani Tanga.

No comments:

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...