https://tpc.googlesyndication.com/simgad/8045142562622600543


Recent Post

Thursday, January 24, 2013

Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha ST. John waandamana



Maaskari wakiongoza msafara wa wanachuo waliokuwa wanaelekea kwa Mkuu wa Mkoa Dodoma leo.
Askari wakiwa kwenye ulinzi.
Hatuwezi kukata tamaa.

Wanachuo wakiwa wameshika mabango ya kushinikiza ulinzi katika chuo chao cha St. John, kilichopo mjini Dodoma.
Hapa hadi kieleweke. Ndivyo wanavyoonekana wakisema waandamanaji ambao ni wanafunzi wa Chuo cha St. John, huku wakipewa sapoti na watoto kama wanavyoonekana pichani.
Jamani hali ni mbaya.....
Hatuna amani, tunahitaji ulinziii.
Wanachuo wa chuo kikuu wakiwa kwenye maandamano
Askari wakiwa nyuma ya maanadamano ya wanachuo.
Wanachuo wakiwa kwenye maandamano kuelekea kwa Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, wakishinikiza ulinzi kutokana na matukio yanayoendelea kutokea katika chuo hicho. 

No comments:

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...