Maaskari wakiongoza
msafara wa wanachuo waliokuwa wanaelekea kwa Mkuu wa Mkoa Dodoma leo.
Askari wakiwa kwenye
ulinzi.
Wanachuo wakiwa
wameshika mabango ya kushinikiza ulinzi katika chuo chao cha St.
John, kilichopo mjini Dodoma.
Hapa hadi kieleweke. Ndivyo wanavyoonekana wakisema waandamanaji ambao ni wanafunzi wa Chuo cha St. John, huku wakipewa sapoti na watoto kama wanavyoonekana pichani.
Jamani hali ni mbaya.....
Hatuna amani, tunahitaji ulinziii.
Wanachuo wa chuo kikuu
wakiwa kwenye maandamano
Wanachuo wakiwa kwenye
maandamano kuelekea kwa Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, wakishinikiza ulinzi kutokana na matukio yanayoendelea kutokea katika chuo hicho.
No comments:
Post a Comment