Katibu
Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahaman Kinana, akipungia wafuasi na
wanachama wa CCM, ikiwa ni baada ya safari ya kuelekea Kigoma kuanza, jijini
Dar es Salaam, kwa ajili ya kuhudhuria sherehe za miaka 36 ya kuzaliwa CCM.
Picha zote kwa hisani ya Bashir Nkoromo.
Katibu
wa Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Asha-Rose Migiro, akipungia watu mkono
tayari kwa safari ya Kigoma kwa njia ya reli.
Wana
CCM wakiwa na furaha kubwa katika safari ya viongozi wao kuelekea mkoani
Kigoma, katika sherehe za CCM.
No comments:
Post a Comment