Mkurugenzi wa Clouds Media Group, Joseph Kusaga, akiwa na
mke wake, ambaye pia ni Mkurugenzi wa Prime Time Promotions Ltd, Johayna
Kusaga, akizungumza jambo mbele ya wafanyakazi mbalimbali wa kampuni hizo,
katika hafla ya mwaka mpya.
Hapo vipi?
Tufurahi jamani. Ndivyo anavyosema Kibonde wa Clouds Media.
Hata humu nipo jamani.
Millard Ayo akiweka kofia yake sawa katika shangwe hizo.
DJ Ziro akiwa kazini sasa.
Tufurahi jamani. Ndivyo anavyosema Kibonde wa Clouds Media.
Hata humu nipo jamani.
Millard Ayo akiweka kofia yake sawa katika shangwe hizo.
DJ Ziro akiwa kazini sasa.
Regina Malekwa akiburudika katika shangwe hizo, akiwa sambamba na akiwa na wadau wengine wa Clouds.
No comments:
Post a Comment