https://tpc.googlesyndication.com/simgad/8045142562622600543


Recent Post

Tuesday, January 29, 2013

Mmoja NCCR-Mageuzi ajiunga na Chadema kikao cha Baraza Kuu

Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe akifungua mkutano huo
Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe akimkabidhi kadi ya uanchama wa chama hicho aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu Bara wa Chama cha NCCR-Mageuzi, Clemence Tara baada ya kujiunga na chama hicho.

Katibu Mkuu Dk. Willbroad Slaa akizungumza katika mkutano huo.
Mbunge wa ubungo John Mnyika akitete jambo na Katibu Mkuu wa Chadema Dk. Willbroad Slaa (kulia) wakati wa Kikao cha dharura cha Baraza Kuu la Chadema kilichofanyika jijini Dar es Salaam, leo.

No comments:

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...