Mkuu wa
Mkoa wa Dodoma, Dkt. Rehema Nchimbi (katikati) akiongoza mapokezi ya ujumbe
wa Sekretarieti
ya CCM,unaoelekea mkoani Kigoma mapema asubuhi hii kwa usafiri wa
treni,ukiongozwa na Katibu
Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM),Ndg. Abdulrahman Kinana (wa pili
kulia) kwenye
maadhimisho ya miaka 36 ya chama cha Mapinduzi CCM yatakayo adhmishwa mkoani
humo.
Katibu wa NEC,Siasa na Mahusiano ya Kimataifa,Dkt.
Asha-Rose Migiro akiwa ndani ya treni asubuhi hii akiwapungia
mkono WanaCCM wa Mkoani Dodoma waliofika kuwalaki na kuwatakia safari
njema Wajumbe wa Sekretarieti ya CCM,wanaoelekea mkoani Kigoma kwa usafiri wa
treni kwenye maadhimisho ya miaka 36 ya chama cha Mapinduzi CCM
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahaman Kinana akishuka
katika treni Mjini Dodoma
Akisalimiana na Baadhi ya Wana CCM akiwepo Mkuu wa Mkoa wa
Dodoma
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana akizungumza na Wanachama wa CCM mkoani Dodoma waliokuwa wamefika
Stesheni ya Dodoma asubuhi hii kuwalaki Wajumbe wa Sekretarieti ya
CCM wanaoelekea mkoani Kigoma kwa usafiri wa treni kwenye maadhimisho ya miaka
36 ya chama cha Mapinduzi CCM. Wajumbe waliondoka jana ni Katibu wa NEC, Siasa na
Mahusiano ya Kimataifa, Dkt. Asha-Rose Migiro na kulia kwake ni Katibu wa NEC,Itikaji na Uenezi CCM Nape
Nnauye.
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM),Ndg.
Abdulrahman Kinana akiagana na baadhi ya WanaCCM wa Mkoani Dodoma waliofika
kuwalaki na kuwatakia safari njema Wajumbe wa Sekretarieti ya CCM, wanaoelekea mkoani
Kigoma kwa usafiri wa treni kwenye maadhimisho ya miaka 36 ya chama cha
Mapinduzi CCM,Wajumbe wa Sekretarieti ya NEC wameondoka jana jijini Dar kwenda
Mkoani Kigoma kuadhimisha miaka 36 ya Chama hicho.
Abdulrahman
Kinana katibu Mkuu wa CCM makiwasili mjini Dodoma na wajumbe wa
Sekretarieti ya ya CCM waka ti wakielekea mkoani Dodoma kwa Treni kwa
ajili ya maadhimisho ya miaka 36 ya CCM Mkoani Kigoma yatakayofanyika
Februari 5 mwaka huu, kushoto ni Katibu wa Halmashauri Itikadi na
Uenezi
No comments:
Post a Comment