Makamu wa Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati wa
ufunguzi Mkutano wa Kimataifa wa siku tatu wa kuboresha Afya ya
Mama na Mtoto, ulioanza leo
Januari 15, 2013, jijini Arusha. Picha zote na OMR.
Makamu wa Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na
baadhi ya viongozi wa Wizara ya Afya na wa Mkoa wa Arusha, wakati
alipowasili kwenye Uwanja wa Ndege wa
Arusha kwa ajili ya kufungua Mkutano wa Kimataifa wa siku tatu wa kuboresha
Afya ya Mama na Mtoto, ulioanza leo Januari 15, 2013, jijini Arusha.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na Waziri wa Afya wa Rwanda, Agnes Binagwaho, baada ya kufungua Mkutano wa Kimataifa wa siku tatu wa kuboresha Afya ya Mama na Mtoto, ulioanza leo Januari 15, 2013, jijini Arusha.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiongozana na viongozi wa Mkoa wa Arusha wakati akiwasili kwenye Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa AICC, Jijini Arusha kwa ajili ya kufungua Mkutano wa Kimataifa wa siku tatu wa kuboresha Afya ya Mama na Mtoto, ulioanza leo Januari 15, 2013, jijini Arusha.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya
viongozi wa na waratibu wa mkutano huo.
No comments:
Post a Comment