Mwenyekiti wa Chadema,
Freeman Mbowe akifungua mkutano huo
Mwenyekiti wa Chadema,
Freeman Mbowe akimkabidhi kadi ya uanchama wa chama hicho aliyekuwa Naibu Katibu
Mkuu Bara wa Chama cha NCCR-Mageuzi, Clemence Tara baada ya kujiunga na chama
hicho.
Katibu Mkuu Dk. Willbroad
Slaa akizungumza katika mkutano huo.
Mbunge wa ubungo John
Mnyika akitete jambo na Katibu Mkuu wa Chadema Dk. Willbroad Slaa (kulia) wakati
wa Kikao cha dharura cha Baraza Kuu la Chadema kilichofanyika jijini Dar es
Salaam, leo.

No comments:
Post a Comment