Pages

Pages

Friday, January 25, 2013

Kinana aenda Kigoma kwa treni kujenga Chama




Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahaman Kinana, akipungia wafuasi na wanachama wa CCM, ikiwa ni baada ya safari ya kuelekea Kigoma kuanza, jijini Dar es Salaam, kwa ajili ya kuhudhuria sherehe za miaka 36 ya kuzaliwa CCM. Picha zote kwa hisani ya Bashir Nkoromo.

Katibu wa Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Asha-Rose Migiro, akipungia watu mkono tayari kwa safari ya Kigoma kwa njia ya reli.



Wana CCM wakiwa na furaha kubwa katika safari ya viongozi wao kuelekea mkoani Kigoma, katika sherehe za CCM.

No comments:

Post a Comment