https://tpc.googlesyndication.com/simgad/8045142562622600543


Recent Post

Wednesday, May 14, 2014

Dkt Bilal afungua Kongamano la pili Wanasayansi na Mabingwa wa Tiba

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati akifungua rasmi Kongamano la pili la Wanasayansi na Mabingwa wa Tiba, wakati wa ufunguzi huo uliofanyika kwenye Hoteli ya Kunduchi Beach jijini Dar es Salaam, leo Mei 14, 2014. Kushoto ni Mwakilishi wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi, Dkt. Jonathan Mbambo (katikati) ni Balozi wa Swewden nchini Tanzania, Lennarth Hjelmaker.  Picha na OMR

No comments:

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...