https://tpc.googlesyndication.com/simgad/8045142562622600543


Recent Post

Wednesday, February 06, 2013

Kutoka bungeni Dodoma leo



 Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia (kushoto) January Makamba wakibadilishana mawazo na  Ahmed Shabiby(Gairo) katika viwanja vya Bunge. Picha zote na Mwanakombo Jumaa- MAELEZO).


  Wanafunzi  wa Shule ya Independence kutoka Dar es Salaam wakitambulishwa Bungeni  leo, Mjini Dodoma ili kujifunza shughuli za kibunge.




Salehe Pamba (kulia) amkisikiliza Mkurugenzi Mtendaji kutoka Kampuni ya sola ya  Rex Energy Francis Kibhisa jinsi ya matumizi  mbalimbali ya umeme wa Sola. Maonyesho hayo yanafanyika katika viwanja vya Bunge mjini Dodoma.

No comments:

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...