https://tpc.googlesyndication.com/simgad/8045142562622600543


Recent Post

Sunday, February 10, 2013

Kubwa zima lapewa kipondo na mtoto, Kimara Mwisho



Kamera yetu iliwanasa watu hawa, mtu mzima na mtoto wakipigana maeneo ya Kimara Mwisho, jijini Dar es Salaam. Hata hivyo, mtu mzima aliambulia aibu baada ya kula kichapo cha aina yake na kuomba msaada kutoka kwa watazamaji.

Ilikuwa ni aibu tupu katika ngumi hizo zilizoshuhudiwa na watu, bila kuamulia mwanzo wakati wanaanzana kupigana. Na picha hii inaonyesha jinsi kaka anavyoadhibiwa na dogo.

No comments:

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...