https://tpc.googlesyndication.com/simgad/8045142562622600543


Recent Post

Saturday, February 16, 2013

Simba wajinoa ile kinoma kuwachakaza Libolo keshon Taifa

Kocha Moses Basena akifanya mazoezi mpamoja na wachezaji jana jioni uwanja wa Taifa
Kocha wa Simba, Patrick Liewing, akifuatilia mazoezi ya timu yake inayaojiandaa kuwavaa Libolo kesho, katika Uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam.
TIMU ya Simba kesho itaingia uwanjani kuchezana Libolo ya Angola kwenye mchezo wa klabu bingwa Afrika utakaochezwa uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam. 

Wageni wa Simba, Libolo waliwasili nchini mapema ili kuizoea hali ya hewa ya Dar es salaam na wamekuwa wakifanya mazoezi kwenye viwanja vya Gymkhana.

Mchezo huu utakuwa mgumu lakini na Simba nao wamejiandaa vema kukabiliana nao
Wachezaji wa Simba wamesema wana hakika mchezo huo watashinda na kuwaomba mashabiki kufika kwa wingi uwanja wa Taifa kuwashangilia

No comments:

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...