HANDENI KWETU
https://tpc.googlesyndication.com/simgad/8045142562622600543

Recent Post

widget

Pages

  • Home
  • CONTACT US

Tuesday, February 05, 2013

Dk Shein autetea Muungano wa Bara na Visiwani

DR Shein akihutubia wana CCM katika Kusheherekea miaka 36 ya kuzaliwa kwa Chama Cha Mapinduzi.

Na Mwandishi Wetu, Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shain amewatoa mashaka wanaohoji kutokuwepo kwa hati halisi ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na kusema hati hiyo ipo na iwapo hawaamini wanaweza kwenda Umoja wa Mataifa New York.

Amesema Muungano wa Tanganyika na Zanzibar chimbuko la kuasisiwa kwake kulitokana na ridhaa ya wananchi wa pande mbili za Muungano na kuwataka wanaowababisha wananchi kwa maneno ya mitaani kuacha kufanya hivyo kwa sababu kila swali lao lina jawabu lake.

Dk Shein ambaye pia ni Makamo Mwenyeki wa CCM Zanzibar amesema kuundwa kwa Muungano halikuwa ni jambo la kubahatisha bali lina malengo yaliokusudiwa kabla ya kupatikana Uhuru ya Tanganyika mwaka 1961 na kufanyika kwa Mapinduzi matukufu ya Zanzibar Januri 12,1964
Amesema wenye wasiwasi na kutokuwepo kwa hati ya Muungano wamfuate Ikulu awaonyeshe chumba walichokutana Mwalimu Julius Nyerere na Sheikh Abeid Karume na kufanya makubaliano ya mwisho kabla ya kuunganisha nchi zao.

Ameeleza kuwa madhumuni ya vyama vya TANU na ASP yalilingana tokea vyama hivyo vikiwa katika harakati zake za kujikomboa hivyo kurahisisha hata kazi ya kuziunganisha nchi hizo mwaka 1964 pia vyama hivyo na kuzaliwa kwa CCM mwaka 1977.

Aidha Makamo huyo Mwenyekiti wa CCM amewaeleza wananchi kuwa Mapinduzi ya Zanzibar ndiyo Uhuru kamili wa visiwa vya Unguja na Pemba huku akiwataka wananchi kutowasiliza watu wanaopotosha ukweli na kuwataka kuacha kufanya hivyo.

Dk Shein amesema watu wanaobeza ukweli huo hawana nguvu ya hoja bali wana lengo la kuwagawa wananchi ili waweze kuyafikia matarajio yao ambayo amesisitiza yanapaswa kupuuzwa na kila mpenda amani na umoja.

Amewataka watu hao kupuuzwa kwasababu hawajui wafanyalo na kwamba wanamangamanga ili kutaka kuwagawa wananchi bila ya kufikiri kwa makini .

Akizungumzia faida za Muungano Dk Shein amesema kiuhalisia wananchi wa Zanzibar ndiyo wanaofaidika na Muungano huo kwani kila uendepa katika Tamnzania Bara kuna wazanaziabri waliotamalaki na kuwekeza miradi na mitaji .

Alisema Zanzibar inafaidika na siko la Bara ambapo kabla ya Mapinduzi ilikuwa ikiagiza bidhaa za vyakula na mahitaji mengine kutoka nchi za Pakistan, Japan na mashariki ya mbali jambo ambalo sasa linapatikana kutoka Mikoa ya Bara.

Kwa upnde wake Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai akizunguimza kabla ya kumkaribisha Dk Shein ,amesema nguvu ya umoja na maelewano kati ya visiwa vya Unguja na Pemba inatokana na kuwepo kwa Muungano na kusema nje ya jambo hilo lolote linaweza kutokea.

Vuai amesema Muungano wa Tanzania licha ya kuleta tija za kiuchumi lakini pia kwa kipindi chote cha miaka 49 ya kuwepo kwake umelinda na kusimamia usalama wa raia na mali zao.

Amesema hata pale Tanznia ilipovamiwa na majeshi ya Idd Amini mwaka 1978,wanajeshi wa Zanzibar waliingia vitani ili kuihami nchi yao vikiwemo visiwa vya Unguja na Pemba na kwamba nje ya Muungano umoja huo unaweza kuparaganyika .

Naibu huyo Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar,amesema CCM itaendelea kujivunia matunda ya TANU na ASP kutokana na kupigania kwao maslahi ya watu waliokuwa wakikandamizwa na kubaguliwa katika ardhi ya nchi zao.

Amesema vyama hivyo kwa pamoja vilihakikiisha vinajenga misingi imara ya heshama na utu kwa kila binadamu na kuondosha matabaka,ubaguzi wa rangi na maonevu hadi pale vilipoamua kuunganisha nguvu zake na kuzaliwa kwa Chama Cha Mapinduzi mwaka 1977.

Mwandishi Kambi Mbwana SAA 11:27 AM
Email ThisBlogThis!Share to XShare to FacebookShare to Pinterest

No comments:

Post a Comment

Newer Post Older Post Home
Subscribe to: Post Comments (Atom)

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

KAMBI MBWANA

KAMBI MBWANA
Huyu ndiyo mmiliki wa blog hii na mwandishi wa MTANZANIA

Popular Posts

  • Matokeo kidato cha nne yatangazwa, angalia majina ya shule zilizofaulisha vizuri
    Matokeo ya kidato cha nne mwaka 2013 yametangazwa na Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi leo jijini Dar es Salaam. Kwa mujibu wa Wizara hiy...
  • Ray, Wolpe wamteta Wema Sepetu kwa saa kadhaa
    Jaqueline Wolpe ndio huyu Na Mdakuzi Spesho, Dar es Salaam WASANII wawili maarufu hapa nchini, Vicent Kigosi (Ray) na mwenzake Ja...
  • Gari lililobeba mabomba ya kusafirisha gesi lapopolewa kwa mawe mjini Mtwara
    HALI ya mambo imeanza kuwa mbaya baada ya kuenea kwa habari kuwa baadhi ya wananchi wa mjin...
  • Mdau wa masumbwi nchini Tanzania afunga ndoa
    Refarii wa mchezo wa masumbwi nchni kushoto akiwa na mke wake Aisha Chilumba  baada ya kuoa hivi karibuni maeneo ya Vingunguti Dar es sala...
  • Diamond auvuruga msiba wa Albert Mangwea, mwili wake kuzikwa leo hapa mkoani Morogoro, mashabiki wake kila mmoja anasema lake
    Na Kambi Mbwana, Morogoro WAKATI mwili wa Albert Mangwea ukitarajiwa kuzikwa leo hapa mkoani Morogoro, jana katika kuaga viwanja vya ...
  • Siri za Utajiri wa Kichawi wa Kabila la Wakinga mkoani Iringa zafichuka
    HAYA ni maoni na mtazamo wa mchambuzi wa masuala ya Uchumi na Biashara Albert Nyaluke Sanga aliyotoa katika mahojiano yake na wataalamu...
  • Fahamu majina ya vijiji vyote 112 vya wilaya ya Handeni, mkoani Tanga
    Na Kambi Mbwana, Aliyekuwa Handeni HANDENI ni wilaya kongwe inayounganisha Mkoa wa Tanga. Uwepo wa wilaya hii umesababisha kuzaliwa k...
  • Pata picha tano kali za msanii Recho wa THT aliposherehekea siku yake ya kuzaliwa na kuwakaribisha wakali kibao
     Msanii Recho wa THT kulia, akiwa kwenye picha wakati wa kusherehekea siku yake ya kuzaliwa, katika Ukumbi wa Business Park, Kijitonyama.....
  • Umeshawahi kumdekeza mpenzi wako?
    MAMBO FULANI MUHIMU Picha inajieleza kabisa. Hawa ni wapenzi wanaofurahia 'love yao'. Na Kambi Mbwana, Dar es Salaam ...
  • Ipitie historia ya Wazigua kutoka wilayani Handeni mkoani Tanga
    Picha mbalimbali zinaonyesha historia nzuri ya Tanga. Hassan Abdallah na Andrew Kizenga Shundi MBELWA, Chifu wa Wazigua mkoani Tanga,...

Recent Posts

widgeo.net

Labels

  • 10 BORA (1)
  • Basata tena (1)
  • Burudani (1)
  • Gervas Kago (1)
  • kumbukumbu (1)
  • Makala ya BASATA (1)
  • Makala ya Sanaa (1)
  • Makala ya Soka (1)
  • Makala ya Wasanii (1)
  • Malavidavi leo (1)
  • maoni (1)
  • Mapenzi (1)
  • Meneja wa Sinta (1)
  • Michezo (2)
  • Mjuwe Marlaw na Besta wake (1)
  • Sumalee na Hakunaga (1)
  • Uhondo wa majuu (1)
  • Utamu wa Sinta na Nature (1)
  • wadau (1)
  • Wasanii wetu (1)
  • Wimbo wa Dogo Mfaume (1)
  • Wimbo wa wiki (1)

HABARI BLOG NYINGINE

  • BIN ZUBEIRY
    SENEGAL, DRC NA BENIN NAZO ZOTE ZAFUZU 16 BORA AFCON - TIMU za Senegal, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) na Benin zimefuzu Hatua ya 16 Bora Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2025 baada ya me...
    8 hours ago
  • Carren-Flora Mgonja
    WATAALAMU UDSM WAKUTANA NA VIONGOZI TBN - WATAALAMU UDSM WAKUTANA NA Wataalamu kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), wamekutana na baadhi ya viongozi na wajumbe wa Tanzania Bloggers Netwo...
    9 months ago
  • EMMANUEL SHILATU
    Ufafanuzi wa TCRA kuhusu kuondoa chaneli za runinga zinazotazamwa bila kulipia (FTA) kutoka ving'amuzi vya Azam, Multichoice na Zuku - Mamlaka ya Mawasiliano (TCRA) imefafanua kuhusu kuondoa Channel za Televisheni za ndani zinazotazamwa bila kulipia (FTA) kutoka Ving’amuzi vya Azam, Multic...
    7 years ago
  • HABARI NA MATUKIO
    DC Kilosa aongoza ukaguzi maeneo yaliyoathiriwa na mvua - *Mkuu wa Wilaya ya Kilosa Shaka Hamdu Shaka, akikagua miundombinu ya barabra iliyoharibiwa na mvua kubwa iliyonyesha wilayani humo.* *Na Dotto Mwaibale* ...
    1 hour ago
  • JESTINA GEORGE
    Waziri Ndalichako azindua chuo kipya cha VETA Kagera - Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Joyce Ndalichako amezindua chuo kipya cha VETA Ndolage kilichopo Kamachumu Wilaya ya Muleba mkoani Kagera k...
    6 years ago
  • JIACHIE
    SALAMU ZA MWAKA MPYA 2026 KUTOKA KWA MWENYEKITI WA TANZANIA BLOGGERS NETWORK (TBN) - Ndugu Wasomaji na Watumiaji wa Blogu Tanzania. Tunapouaga mwaka 2025, nachukua fursa hii, kwa niaba ya wanachama wote wa Tanzania Bloggers Network (TBN),...
    9 hours ago
  • Karibuni Nyasa
    MWONEKANO WA ZIWA NYASA KATIKA KIJIJI CHA MBAHA WILAYA YA NYASA -
    7 years ago
  • LENZI YA MICHEZO
    Kwanini Jenerali Mkunda amekutana na Tume ya Uchunguzi - Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi (CDF), Jenerali Jacob Mkunda, Desemba 30, 2025, amefika mbele ya Tume ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani yaliyojito...
    11 hours ago
  • LUKAZA
    TANZANIA NA MAREKANI ZASONGA MBELE KUKAMILISHA MAKUBALIANO MAKUBWA YA UWEKEZAJI - Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amekutana na kuzungumza na Kaimu Balozi wa Marekani nchini Tanzania, Mhe. Andrew L...
    3 weeks ago
  • MAISHA NA MAFANIKIO
    NAPENDA KUWATAKIENI KHERI SANA YA MWAKA MPYA 2024 - Kwanza kabisa napenda kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutulinda sisi wote kwa kuona Mwaka 2024. Wengi walitamani kuona lakini haikuwa bahati kwao.Binafsi mim...
    1 year ago
  • MICHUZI BLOG
    DIWANI KALANGALALA AGUSA NYOYO ZA WAFUNGWA GEREZA LA GEITA - Diwani wa kata ya Kalangalala Ruben Sagayika amewashika mkono wafungwa katika Gereza la wilaya ya Ya Geita kuelekea sikukuu ya mwaka mpya. Sagayika ameto...
    1 hour ago
  • MJENGWA - Picha, Habari & Matangazo
    -
  • Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI
    Cheka nuna. - Na ukinuna,.. Je moyowo watabasamu? Na ukicheka,.. Je moyo ununao ni wa kibinadamu? Cheka nuna na ikibidi lia,... Na si mwisho wa cheko yalizayo ni utamu?...
    11 years ago
  • PAMOJA
    TANZANIA AND U.S. MOVE TO FINALISE MAJOR INVESTMENT AGREEMENTS - Her Excellency Dr. Samia Suluhu Hassan, President of the United Republic of Tanzania, today held talks with the Acting United States Ambassador to Tanza...
    3 weeks ago
  • TAIFA LETU.com
    CHUKUA HII: WANASAYANSI, WASOMI NA WAVUMBUZI WENGI WALIKUWA NI 'VICHAA' - Kumekuwa na theory nyingi mitaani kuwa watu wenye intelligence kubwa na ma-genius wengi wana tabia nyingi za ukichaa au ni vichaa kabisa, madaktari bingwa ...
    9 years ago
  • TANGA RAHA.
    -
  • Vukani
    KUMBE WAMAKONDE WANAOGOPA KUFA...! - Inaelezwa kwamba Maziko Wamakonde huwa na maombi tofauti na yale yanayofuatwa na madhehebu mengine. Badala ya Sheikh au Kasisi kusoma dua, Wamakonde wana...
    12 years ago

Contact

Text

Future Video

fwc

Tag

  • 10 BORA (1)
  • Basata tena (1)
  • Burudani (1)
  • Gervas Kago (1)
  • kumbukumbu (1)
  • Makala ya BASATA (1)
  • Makala ya Sanaa (1)
  • Makala ya Soka (1)
  • Makala ya Wasanii (1)
  • Malavidavi leo (1)
  • maoni (1)
  • Mapenzi (1)
  • Meneja wa Sinta (1)
  • Michezo (2)
  • Mjuwe Marlaw na Besta wake (1)
  • Sumalee na Hakunaga (1)
  • Uhondo wa majuu (1)
  • Utamu wa Sinta na Nature (1)
  • wadau (1)
  • Wasanii wetu (1)
  • Wimbo wa Dogo Mfaume (1)
  • Wimbo wa wiki (1)

Tag

  • 10 BORA (1)
  • Basata tena (1)
  • Burudani (1)
  • Gervas Kago (1)
  • kumbukumbu (1)
  • Makala ya BASATA (1)
  • Makala ya Sanaa (1)
  • Makala ya Soka (1)
  • Makala ya Wasanii (1)
  • Malavidavi leo (1)
  • maoni (1)
  • Mapenzi (1)
  • Meneja wa Sinta (1)
  • Michezo (2)
  • Mjuwe Marlaw na Besta wake (1)
  • Sumalee na Hakunaga (1)
  • Uhondo wa majuu (1)
  • Utamu wa Sinta na Nature (1)
  • wadau (1)
  • Wasanii wetu (1)
  • Wimbo wa Dogo Mfaume (1)
  • Wimbo wa wiki (1)

TOA MAONI YAKO KUHUSU HANDENI KWETU

Ads 468x60px

Blog Archive

  • ►  2018 (5)
    • ►  April (4)
    • ►  January (1)
  • ►  2017 (131)
    • ►  December (2)
    • ►  November (2)
    • ►  October (2)
    • ►  August (14)
    • ►  July (23)
    • ►  June (24)
    • ►  May (28)
    • ►  April (8)
    • ►  March (2)
    • ►  February (12)
    • ►  January (14)
  • ►  2016 (243)
    • ►  December (31)
    • ►  November (39)
    • ►  October (32)
    • ►  September (15)
    • ►  August (19)
    • ►  July (20)
    • ►  June (10)
    • ►  May (3)
    • ►  April (4)
    • ►  March (18)
    • ►  February (16)
    • ►  January (36)
  • ►  2015 (393)
    • ►  December (49)
    • ►  November (50)
    • ►  October (29)
    • ►  September (17)
    • ►  August (37)
    • ►  July (21)
    • ►  June (29)
    • ►  May (26)
    • ►  April (43)
    • ►  March (57)
    • ►  February (29)
    • ►  January (6)
  • ►  2014 (473)
    • ►  December (7)
    • ►  November (6)
    • ►  October (5)
    • ►  September (3)
    • ►  August (2)
    • ►  July (42)
    • ►  June (41)
    • ►  May (65)
    • ►  April (46)
    • ►  March (75)
    • ►  February (88)
    • ►  January (93)
  • ▼  2013 (1385)
    • ►  December (46)
    • ►  November (79)
    • ►  October (140)
    • ►  September (101)
    • ►  August (131)
    • ►  July (108)
    • ►  June (128)
    • ►  May (143)
    • ►  April (122)
    • ►  March (124)
    • ▼  February (134)
      • TIFU TIFU: Michael Wambura azidi kumng'ang'ania Te...
      • <!--[if gte mso 9]> Normal 0 ...
      • TAARIFA YA MKUTANO MKUU WA WADAU WA PSPF KUFANYIK...
      • Zawadi za Mashindano ya Mpinga Cup zatangazwa ...
      • MKOA WA RUVUMA WAWAKUMBUKA MASHUJAA WALIO KUFA KW...
      • TANGAZO LA HANDENI KWETU
      •  WAZIRI WA NISHATI NA MADINI MH. SOSPETER ...
      • TANGAZO LA UCHAGUZI WA VIONGOZI WA TAWI LA CCM DMV
      • Extra Bongo yajivunia watatu wake wapya
      • Dawa zaadimika Hospitali ya Wilaya Kilwa
      • Shavu la Vodacom mahela latua kwa wafanyabiashara ...
      • Waziri Tibaijuka amaliza zozo la Ardhi wilayani N...
      • Clouds FM yakumbwa na rungu la Serikali
      • Maimatha Jesse: Jamani msinitamani, nimeolewa mieeee
      • TFF sasa yatangaza kikao kujadili uamuzi wa serikali
      • Kocha Azam afungiwa kwa kuchojoa bukta yake uwanjani
      • Mbio za urais 2015 zapanda moto
      • Ally Choki atangaza kuunga undugu na Villa Squad
      • Ibrahimu Maokola ajifua kwa ajili ya pambano la Ma...
      • TANGAZO LA KAZI
      • Rihanna ammwagia sifa za kutisha mpenzi wake Chris...
      • Mtikisiko Kanisa Katoliki duniani, Padre Mkuu Scot...
      • Tegete aumizwa na kushindwa kuiangamiza Azam FC
      • Soka la Tanzania ni ubabaishaji tu
      • Serikali yaingilia kati Uchaguzi TFF, yapinga Kati...
      • Ni kauli zenya raha na karaha kwa wakati mmoja
      • Rais Kikwete atua Ethiopia jana ziara ya kikazi
      • Zanzibar kwazidi kuchafuka kwa kutoana roho
      • RAIS KIKWETE AFUNGUA WARSHA KUHUSU MIKAKATI YA UT...
      • MAMELODI KUKAGUA MIRADI YA FIFA NA KUMTAMBULISHA ...
      • Yanga yaichana chana Azam FC wataalamu wa lamba lamba
      • WASHIRIKI WA MISS UTALII TANZANIA 2012/13 WAKIWA ...
      • Ally Choki aanza mbwembwe na Extra Bongo yake
      • MANENO OSWARD ATAMBA KUMCHAKAZA KASEBA MACHi 2
      • Yanga, Azam hapatoshi leo Uwanja wa Taifa
      • Tanzania yafanya vyema kwenye mashindano ya mitind...
      • Ligi Daraja la Kwanza kuendelea tena kesho
      • FIFA kuanza kufanyia kazi madai ya Kenneth Asamouh
      • DC Kilindi aomba minara ya kufanikisha mtandao wil...
      • Zitto Kabwe, aingizwa mtegoni kwa wizi wa mtandaoni?
      • Diamond anatisha: Aendelea kuwafaidi mabinti wa wa...
      • Airtel wakabidhi vitabu mkoani Mwanza
      • Matokeo ya kidato cha nne Handeni yawaliza wadau w...
      • Serikali Zanzibar yaahidi kuwasaka hadi kuwatia m...
      • KIJANA OMBENI MBEULA ANAHITAJI MSAADA WA HALI NA ...
      • Mnamibia apewa ofa ya kuwania Ubingwa wa Dunia
      • Mmoja ajitoa roho baada ya kupata 'zero' kidato ch...
      • Mohammed Dida ndie mgombea Urais mdogo kuliko wot...
      • Rais Jakaya Kikwete Akutana na Kiongozi wa Kanisa...
      • WIZARA YA MAENDELEO YA JAMII JINSIA NA WATOTO:YA...
      • Nguvu hizi za urais CCM ni ishara gani?
      • Makabu amdunda Gorgiladze Afrika Kusini
      • Nyosh wa Wazee wa Ngwasuma awapayukia wanamuziki B...
      • Shuhudia balaa la wanenguaji wa taarabu Tanzania
      • Muonekano mpya wa Dayna Nyange na Jokate Mwigelo
      • Matokeo kidato cha nne 2012 yatangazwa
      • Licha ya Simba kupigwa kimoja na Libolo, mechi yai...
      • Polisi Handeni wakamata wanafunzi sita waliowapiga...
      • Tatizo ni Malinzi, Wambura au Kamati za Tenga
      • Tawi la Yanga Green Stone lapewa viti na Mchumi wa...
      • Familia yamkana anayejiita Makongoro Nyerere kuwa ...
      • Simba wajinoa ile kinoma kuwachakaza Libolo keshon...
      • Azam FC wakijifua tayari kuwavaa wapinzani wao Al ...
      • Miss Tanzania 2007 awaropokea wanaoendekeza uzinzi...
      • Handeni sasa kuipima ardhi yake ili kuepusha migogoro
      • Lowassa akerwa na vurugu za Buserere, mkoani Geita
      • UCHAGUZI TFF: Serikali yamtwisha zigo zito Leodgar...
      • Michael Wambura alivyounguruma leo kuzipinga Kamat...
      • Misa ya maziko ya kumuombea Askofu Amedeus kuhudhu...
      • Michael Wambura kufunguka leo saa sita, Idara Haba...
      • Pengo auweka kando U-papa
      • Utoaji wa vitambulisho vya Taifa upande wa Zanziba...
      • Amos Makalla aendelea kumbeba Jamal Malinzi
      • Francis Cheka kutandikana na Thomas Mashali
      • Nyota wa Wanaume Halisi afariki Dunia
      • Taswira ya Uwanja wa Kaitaba mjini Bukoba, Duh?
      • Yanga yenye hasira kuivaa kibonde African Lyon leo
      • SUPER BLOG 4 CELEBS GOSSIPS, SPORTS, NEWS AND ENTE...
      • Ally Choki kumtambulisha upya Muumini Machi Mosi
      • Juliana Shonza wa Chadema alivyoingia kwa miguu yo...
      • TFF kimenuka, TASWA wafuta mdahalo wa wagombea
      • TFF yawapigia magoti mashabiki wa soka Tanzania
      • Mwimbaji wa Injili sasa ahamia kwenye soko la fila...
      • Machafuko ya Waislamu, Wakristo na hoja ya kuchinj...
      • Wachezaji Coastal Union wanataka nini?
      • Mdau wa Handeni atoa somo; (Vinohaluse hano chili ...
      • Deo Njiku, Omary Ramadhani kumenyana Februari 14
      • DRFA kuzisaidia kiuchumi timu zake Ilala
      • Kubwa zima lapewa kipondo na mtoto, Kimara Mwisho
      • Umeshawahi kumdekeza mpenzi wako?
      • Shida ya maji Handeni yatikisa Jeshi la Kujenga Taifa
      • Ruaha Marathon kufanyika Mei 25 mkoani Iringa
      • Bondia Francis Miyeyusho kuzipiga na Sadiki Momba ...
      • Mwanafunzi wa darasa la sita afumaniwa na dereva w...
      • Ramadhani Shauri kugombea Ubingwa wa IBF
      • Polisi wakamata magunia mengine 97 mkoani Arusha
      • Auawa kwa sababu ya kugombea mwanamke mkoani Mbeya
      • Msiba wa Askofu Thomas Laizer washtua wengi Tanzania
      • Mashauzi Classic waendelea kufanya vitu kwa kwenda...
      • Mvua kubwa ilivyong'oa madaraja, barabara ya Lituh...
    • ►  January (129)
  • ►  2012 (215)
    • ►  December (164)
    • ►  November (18)
    • ►  October (30)
    • ►  September (3)
  • ►  2011 (25)
    • ►  November (2)
    • ►  October (5)
    • ►  September (18)

KUHUSU MIMI

My photo
Kambi Mbwana
View my complete profile

Total Pageviews

WANAOFUATILIA

foremost

Translate

MY FAVOURATE ACTOR

Social sports Icons

Search This Blog

Copyright@2012.handenikwetublog.AllRightsReserved.modified by HANDENI KWETU.. Picture Window theme. Powered by Blogger.