Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, wakeze Mama Zakhia Bilal na
Mama Asha Bilal, wakitoa heshima zao za mwisho mbele ya jeneza lenye mwili wa
marehemu, Kapteni John Komba, wakati wa shughuli za kuaga mwili huo
zilizofanyika leo Machi 2, 2015 kwenye Viwanja vya Karimjee jijini Dar es
Salaam. Baada ya shughuli hiyo mwili wa marehemu umesafirishwa kuelekea Kijiji
cha Litui Wilayani Mbinga mkoa wa Ruvuma kwa maziko.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Waziri Mkuu
Mstaafu, Edward Lowassa, wakati walipokutana kwenye Viwanja vya Karimjee baada
ya kuhudhuria shughuli za kuaga mwili wa marehemu Kapteni John Komba leo Machi
2, 2015. Baada ya shughuli hiyo mwili wa marehemu umesafirishwa kuelekea Jijini
cha Litui Wilayani Mbinga mkoa wa Ruvuma kwa maziko. Picha zote kwa hisani ya Ofisi ya Makamu wa Rais (OMR)
No comments:
Post a Comment