Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akipokea zawadi ya picha yake iliyochorwa na Msanii, Florian Ludovic (hayupo
pichani) kutoka kwa Mwenyekiti wa Kamati ya maandalizi ya matembezi hayo,
Paroko wa Parokia ya Chang’ombe, Benedict Mushi, wakati wa hafla fupi ya
matembezi ya hisani ya kuchangia ujenzi wa Kanisa la Kigango cha Mt. Dominic
Savio, lililopo Temeke Mikoroshini, matembezi hayo yamefanyika leo Machi
21, 2015 asubuhi kuanzia Chang’ombe Polisi hadi Temeke Mikoroshini, jijini Dar
es Salaam. Picha hiyo iliuzwa kwa mnada kiasi cha Sh. Milioni 2.5.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akishiriki na kuongoza matembezi ya Hisani kwa ajili ya kuchangia ujenzi wa
Kanisa la Kigango cha Mt. Dominic Savio, lililopo Temeke Mikoroshini. Matembezi
hayo yamefanyika leo Machi 21, 2015 asubuhi kuanzia Chang’ombe Polisi hadi
Temeke Mikoroshini, jijini Dar es Salaam.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akimpongeza Mzee Thomas Wambura Kyangombe (miaka 99) baada ya kushiriki
matembezi hayo ya hisani ya kuchangia ujenzi wa Kanisa la Kigango cha Mt.
Dominic Savio, lililopo Temeke Mikoroshini. matembezi hayo yamefanyika leo
Machi 21, 2015 asubuhi kuanzia Chang’ombe Polisi hadi Temeke Mikoroshini,
jijini Dar es Salaam.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akihutubia wakati wa hafla fupi ya matembezi ya hisani ya kuchangia ujenzi wa
Kanisa la Kigango cha Mt. Dominic Savio, lililopo Temeke Mikoroshini. Matembezi
hayo yamefanyika leo Machi 21, 2015 asubuhi kuanzia Chang’ombe Polisi hadi
Temeke Mikoroshini, jijini Dar es Salaam.
Mkuu
wa Wilaya ya Temeke, Sofia Mjema, akizungumza kabla ya kumkaribisha Makamu wa
Rais, Dkt. Bilal, wakati wa hafla fupi ya matembezi ya hisani ya kuchangia
ujenzi wa Kanisa la Kigango cha Mt. Dominic Savio, lililopo Temeke Mikoroshini.
Matembezi hayo yamefanyika leo Machi 21, 2015 asubuhi kuanzia Chang’ombe Polisi
hadi Temeke Mikoroshini, jijini Dar es Salaam.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akipokea zawadi ya Saa yenye picha yake kutoka kwa Mwenyekiti wa Kamati ya
maandalizi ya matembezi hayo, Paroko wa Parokia ya Chang’ombe, Benedict Mushi,
wakati wa hafla fupi ya matembezi ya hisani ya kuchangia ujenzi wa Kanisa la
Kigango cha Mt. Dominic Savio, lililopo Temeke Mikoroshini. Matembezi hayo
yamefanyika leo Machi 21, 2015 asubuhi kuanzia Chang’ombe Polisi hadi Temeke
Mikoroshini, jijini Dar es Salaam.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akisalimina na kumpongeza, msanii aliyechora picha yake, Florian Ludovic,
wakati wa hafla fupi ya matembezi ya hisani ya kuchangia ujenzi wa Kanisa la
Kigango cha Mt. Dominic Savio, lililopo Temeke Mikoroshini. Picha hiyo iliuzwa
kwa mnada kiasi cha Sh. Milioni 2.5.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akiwa katika picha ya pamoja ya mzee
Thomas Wambura Kyangombe (miaka 99) na mtoto mdogo kuliko wote walioshiriki
matembezi hayo.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa
katika picha ya pamoja na baadhi ya viongozi wa kanisa hilo na wanakamati wa
uchangiaji wa ujenzi huo. Picha zote kwa hisani ya Ofisi ya Makamu wa Rais (OMR)
No comments:
Post a Comment