https://tpc.googlesyndication.com/simgad/8045142562622600543

Recent Post

Saturday, April 11, 2015

Kujiunga na Kongamano la wanawake wajasiriamali Sh 100,000 tu

Tanzania Women and Youth Development Society tumeandaa Kongamano la Girls Entrepreneur in Tanzania April 30 Ukumbi wa Peacock, na kujiunga katika forum hii ni laki moja kwa mwaka na unapata kujua mambo  na fursa za kibiashara ikiwemo masoko ya Africa mashariki na nje ikiwemo China,na hata kukutana na wafanyabiashara waliofanikiwa kama unataka kujiunga piga simu +255 713 403231 pia fika katika ofisi zetu Maalifa house second floor.
Mratibu wa Kongamano hilo, Sophia Hezron (kushoto), akiwa na wajasiriamali wenzake, Monica Joseph (katikati) na Nancy Sumari.
Sophia Hezron (aliyeshika Kipaza sauti) akizungumza na wadau hivi karibuni.
Baadhi ya bidhaa zitakazooneshwa katika kongamano hilo.
mmoja wa wajasiriamali akizungumza na waandishi wa Habari hivi karibuni

No comments:

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...