https://tpc.googlesyndication.com/simgad/8045142562622600543

Recent Post

Friday, June 13, 2014

Mabondia wa Meya Cup wapima uzito

 Kocha mkongwe wa mchezo wa masumbwi nchini Habibu Kinyogoli akifafanua jambo wakati wa upimaji uzito kwa mabondia
Bondia Amir Shekhe akipima uzito kabla ya kushiliki mashindano ya meya cup yatakayoanza ijumaa katika ukumbi wa ccm kata 15 temeke kulia ni Lemmy Ngabo.
Bondia Titas kanje wa amana ilala akipima uzito kwa asjili ya kushiriki mashindano ya meya cup yanayoanza kesho katika umkumbi wa ccm kata ya 15 temeke jijini Dar es Salaam.
Mabondia wakipanga foleni kwa ajili ya kuonana na dokta kabla ya mpambano wa meya cup utakaoanza ijumaa katika ukumbi wa ccm kata ya 15 temeke Dar es Salaaam.
Picha zote kwa   picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com

No comments:

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...