https://tpc.googlesyndication.com/simgad/8045142562622600543

Recent Post

Tuesday, June 03, 2014

George Tyson kuagwa kesho Leaders Club tayari kwenda kuzikwa nyumbani kwao KenyaMWILI wa muongozaji wa filamu Tanzania, George Otiono Tyson, unatarajiwa kuagwa kesho saa nne asubuhi katika Viwanja vya Leaders Club, kabla ya kuelekea nchini Kenya kwa mazishi.
Tyson alifariki pichani, mkoani Dodoma usiku wa kuamkia siku ya Jumamosi na kuibua hofu kwa wadau wa sanaa na filamu, ikiwa ni mwendelezo wa vifo vya wasanii hapa nchini.

No comments:

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...