https://tpc.googlesyndication.com/simgad/8045142562622600543


Recent Post

Wednesday, June 11, 2014

Classic Mawe alivyoonyesha ubabe nchini Zambia

Bondia Ibrahimu Class 'King Class Mawe' akinyooshwa mkono juu kuashilia ushindi baada ya kumtwanga bondia Mzambia Mwansa Kabinga kwa t,k,o ya raundi ya tisa mwishoni mwa wiki iliyopita na kufanikiwa kunyakuwa ubingwa wa WPBF Africa upande wa vijana.
Bondia Ibrahimu Class 'King Class Mawe' akipeperusha vema bendera ya taifa.
Bondia wa Zambia, Mwansa Kabingakushoto akioneshana umwamba na Ibrahimu Class 'King Class Mawe' wa Tanzania wakati wa mpambano wao wa kugombania ubingwa wa WPBF Africa mchezo uliochezwa ,Arthur Davis Stadium, Kitwe, Zambia ambapo King Class Mawe alishinda kwa TKO ya raundi ya tisa na kufanikiwa kuibuka na ubingwa huo picha nkwa hisani ya www.superdboxingcoach.blogspot.com.

No comments:

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...